Yasinya
  • Authors: Leornard Sanja
  • ISBN: 9966-01-158-7
  • Units in Stock: 1000
  • Published by: Focus Publishers
epub

 

View Flipbook

 

flipbook

Price:   Ksh. 340.00

Add to Cart:          

 

Book Details:

 

Nyumba nzuri, nyumba ya fahari, lakini nyumba ambayo ilimliza badala ya kumpa fahari, furaha na raha kuwa na nyumba. Kisura alikuwa amelala ndoto ya M A na hadithi zilipomhusu zilipomjia. Je, atavumbua na kufumbua kitendawili cha nyumba? Atarejesha hahari na ari ya nyumba ili raha irejee? Ama naye atasinyika? Yasinya ni riwaya inayochunguza masuala yanayozitatiza na kuzidunisha nchi nyingi barani na kuzifanya zikose mshikamano, ustawi na maendeleo. Baadhi ya mambo anayoyaangazia mwandishi ni ukiritimba, umaskini na ukabila.The Authors
Bw. Sanja L. ni mwalimu mwenye tajriba nyingi na mwandishi wa kazi za fasihi. K ati ya kazi zake maarufu ni Zinguo La Mzuka, Kasalia na Mimba Ingali Mimba mbali na kuhariri diwani ya hadithi fupi: Mwavyaji wa Roho na Hadithi Nyingine.