Alitoroka Kwao
  • Authors: Angelina Mdari
  • ISBN: 9966-882-59-6
  • Units in Stock: 1000
  • Published by: Focus Publishers
epub

 

View Flipbook

 

flipbook

Price:   Ksh. 150.00

Add to Cart:          

 

Book Details:

 

Lo! Mara Eva alipoipokea ile risiti yake akaanza kutetemeka kwa woga. Akajiwa na fikira zilizomzomea, ‘Mtoto umepotea wewe! Ati unaenda Nairobi? Unamjua nani huko? Nani anayekujua huko?’ Mawazo hayo yakamjaa ubongoni. Eva akaendelea kutetemeka kwa hofu. Na kweli, huko alikokokuwa anakwenda alimjua nani? Lakini hapana! Akajipa moyo tena. Hangerudi nyuma!The Authors
Angelina Mdari