Kielezi cha Tungo
  • Authors: Timothy M. Arege
  • ISBN: 9966-01-096-3
  • Units in Stock: 1000
  • Published by: Focus Publishers
epub

 

View Flipbook

 

flipbook

Price:   Ksh. 450.00

Add to Cart:          

 

Book Details:

 

Kielezi cha Tungo ni kitabu kinachojadili kwa mapana namna ya kuandika tungo mbalimbali. Hiki ni kitabu cha kipekee ambacho kimeangazia aina mbalimbali za tungo kwa kina. Mwandishi huyu anatoa mifano maridhawa katika kila utungo anaoushughulikia. Kina sehemu zinazoshughulikia maana na aina za insha, tungo amilifu, tungo za kifasihi, ufahamu na ufupisho. Aidha amelijadili kwa mapana swala la uakifishi. Kitabu hiki kitawafaa sana wanafunzi na walimu wa shule na vyuo mbalimbali pamoja na watu wanaokumbana na tungo za namna mbalimbali katika shughuli zao.The Authors
Timothy M. Arege