Mwongozo wa Kifo Kisimani
  • Authors: Timothy M. Arege
  • ISBN: 9966-01-020-3
  • Units in Stock: 1000
  • Published by: Focus Publishers
epub

 

View Flipbook

 

flipbook

Price:   Ksh. 180.00

Add to Cart:          

 

Book Details:

 

Mwongozo wa Kifo Kisimani unaichanganua tamthilia ya Kifo Kisimani kwa kuzingatia vipengele vya kimsingi vya tamthilia hii. Mbali na kuyachambua maudhui na tamthilia hii, mwandishi pia amevichanganua vipengele vya kifani katika misingi ya kidrama. Vipengele hivi ni pamoja na muundo, msuko, wahusika, kaida za kidrama, matumizi ya lugha na mbinu nyinginezo. Aidha kuna utangulizi unaovifafanua vipengele mbalimbali vya kidrama. Kitabu hiki kitawaongoza wanafunzi wa shule za upili na vyuo siyo tu katika kuielewa tamthilia ya Kifo Kisimani bali pia kupata msingi imara kuhusu uhakiki wa tamthilia.The Authors
Timothy M. Arege