Mwongozo wa Mayai Waziri wa Maradhi na Hadithi Nyingine
  • Authors: Timothy M. Arege, K.W. Wamitila, Deogratias Mwakyembe
  • ISBN: 9966-01-016-5
  • Units in Stock: 1000
  • Published by: Focus Publishers
epub

 

View Flipbook

 

flipbook

Price:   Ksh. 180.00

Add to Cart:          

 

Book Details:

 

Mwongozo wa Mayai Waziri wa Maradhi na Hadithi Nyingine unamwongoza msomaji kwenye vipengele vya kimsingi katika uchambuzi wa hadithi fupi. Waandishi wamezichambua hadithi zilizomo kitabuni kwa kuzingatia vipengele vya kimsingi kama dhamira na maudhui, muundo au msuko, tamathali za usemi na mbinu nyinginezo za kimtindo. Huu ni mwongozo ambao utamsaidia msomaji sio tu kuzielewa hadithi hizi vizuri bali pia kutambua maana zake zilizofichama.The Authors
Timothy M. Arege, K.W. Wamitila, Deogratias Mwakyembe