Pango
  • Authors: K.W. Wamitila
  • ISBN: 9966-882-88-2
  • Units in Stock: 1000
  • Published by: Focus Publishers
epub

 

View Flipbook

 

flipbook

Price:   Ksh. 325.00

Add to Cart:          

 

Book Details:

 

Pango ni tamthilia inayotufunulia na kujadili utata wa kisasa, uchumi, uongozi na migongano ya wimbi la kale na la usasa. Ni kichokozi na kichocheo cha fikra kwa wahakiki na wanafunzi vyuoni na katika shule za sekondari. Mwandishi ni mweledi wa lugha na kunga za fani ya tamthilia. Tamthilia hii ni mchango mwingine mwafaka katika medani ya fasihi hasa uga wa drama. Kwa mara nyingine tena, Wamitila amedhihirisha ukereketwa wake katika kuikuza na kuitilia mbolea fasihi ya Kiswahili hapa Afrika Mashariki.The Authors
K.W. Wamitila