Walioponea Chupuchupu
  • Authors: Angelina Mdari
  • ISBN: 9966-882-92-9
  • Units in Stock: 1000
  • Published by: Focus Publishers
epub

 

View Flipbook

 

flipbook

Price:   Ksh. 190.00

Add to Cart:          

 

Book Details:

 

Hadithi fupi za kusisimua zilizomo kitabuni humu zinaonyesha vile watu mbalimbali walivyonusurika kwa namna za kipekee. Watu hao waliponea chupuchupu kwa usaidizi wa wanyama na vidudu duni. Hawakuokolewa na werevu wao, bali na ule mkono wa ulinzi ambao daima huifanya kazi yake sirini. Hadithi hizi zinalenga wanafunzi wa darasa la saba hadi la nane na pia wa kidato cha kwanza na cha pili.The Authors
Angelina Mdari