Maimuna
  • Authors: Rebecca Nandwa
  • ISBN: 9966-01-089- 0
  • Units in Stock: 1000
  • Published by: Focus Publishers
epub

 

View Flipbook

 

flipbook

Price:   Ksh. 150.00

Add to Cart:          

 

Book Details:

 

Maimuna alikuwa na mazoea ya kula kila wakati. Muda si muda, mwili wake ukawa mkubwa kupita kiasi. Matatizo ya afya yakamwandama. Madaktari maarufu waliitwa lakini wakashindwa “kumtibu.” Mzee matambara alifanikiwa “kumponya” kwa kumpa masharti makali. Mwishowe Maimuna alibadilika na kuwa mrembo. Hadithi hii inawafunza wasomaji umuhimu wa kula vyakula bora wakati ufao, mazoezi ya viungo vya mwili na tabia njema.The Authors
Rebecca Nandwa