• Barua Ndefu kama Hii Quick View
  • Barua Ndefu kama Hii Quick View
  • Barua Ndefu kama Hii

  • $3.50
  • Ramatoulaye, mwanamke Msenegali ameolewa na Modu, mtu mzito serikalini. Baada ya miaka mingi ya ndoa Modu anaoa mke mwingine, msichana mdogo mwenye umri sawa na binti yake. Ramatoulaye anasahauliwa; pesa na mapenzi vinahamia kwa mke mdogo. Modu anakufa katika ajali ya gari. Nani atakayerithi mali ya marehemu? Halafu kuna umati uliokuja kwenye kilio ambao lazima ulishwe na upewe pesa kwa…
  • Add to cart
 • Isimujamii Quick View
 • Kichocheo cha Fasihi Quick View
  • Kichocheo cha Fasihi Quick View
  • Kichocheo cha Fasihi

  • $5.50
  • Kichocheo cha Fasihi; Simulizi na Andishi ni kitabu kilichoandikwa kwa mtindo mwepesi na rahisi kusomeka. Kitabu hiki kinachunguza vipengele vya kimsingi vya fasihi simulizi na fasihi andishi kwa undani unaopatikana kwa nadra sana katika vitabu vilivyochapishwa.
  • Add to cart
 • Kielezi cha Tungo Quick View
  • Kielezi cha Tungo Quick View
  • Kielezi cha Tungo

  • $4.50
  • Kielezi cha Tungo ni kitabu kinachojadili kwa mapana namna ya kuandika tungo mbalimbali. Hiki ni kitabu cha kipekee ambacho kimeangazia aina mbalimbali za tungo kwa kina. Mwandishi huyu anatoa mifano maridhawa katika kila utungo anaoushughulikia.
  • Add to cart
 • Kurunzi ya Kiswahili: K.C.S.E Kitabu cha Marudio Quick View
 • Placeholder Image
  • Placeholder Image
  • Mayai waziri wa Maradhi na Hadithi Nyingine

  • $3.60
  • Mayai waziri wa Maradhi na Hadithi Nyingine ni diwani inayojumlisha hadithi fupi zinazoakisi hall halisi katika jamii za Afrika Mashariki. Ni hadithi ambazo zinamfanya msomaji akereke na kuungulika kwa kuiona dhiki, unafiki na uovu uliotamalaki katika matendo ya waja. Ni hadithi zinazofichua uozo na uovu wa kisiasa, kiuchumi na kijamii; hadithi zinazokemea matendo yasiyokuwa na uadilifu na zinazofichua uthori na…
  • Add to cart
 • Mimba Ingali Mimba na Hadithi Nyingine Quick View
  • Mimba Ingali Mimba na Hadithi Nyingine Quick View
  • Mimba Ingali Mimba na Hadithi Nyingine

  • $3.40
  • Mimba Ingali Mimba na Hadithi Nyingine ni mkusanyo wa hadithi fupi uliofanywa kwa uangalifu mkubwa. Diwani hii imeleta pamoja hadithi fupi za aina tofauti kwa kuteua hadithi zenye mitindo na miundo mbalimbali. Ina maudhui yanayogusia matamanio, shida, fikra, falsafa kuhusu maisha, na vipengele vingi vya mazingira yanayoikumba jamii. Kupitia wahusika waliosawiriwa kwenye hadithi fupi zilizoko katika Mimba Ingali Mimba na…
  • Add to cart
 • Placeholder Image
  • Placeholder Image
  • Mwavyaji wa Roho na Hadithi Nyingine

  • $3.60
  • Huu ni mkusanyiko unaoleta pamoja miwazo, hisia na fikira za waandishi mahiri kuhusu jamii. Ni juhudi za kuakisi ukweli wa hali halisi ilivyo na kuchorea msomaji taswira kamili kuhusu madhili ya uongozi, njaa, madawa ya kulevya na mahusiano ya kijamii kwa ujumla yaliyodorora. Wakati huo huo, wanamzidua juu ya mabadiliko; kuu likiwa kupatikana kwa katiba mpya.
  • Add to cart
 • Pango Quick View
  • Pango Quick View
  • Pango

  • $3.25
  • Pango ni tamthilia inayotufunulia na kujadili utata wa kisasa, uchumi, uongozi na migongano ya wimbi la kale na la usasa. Ni kichokozi na kichocheo cha fikra kwa wahakiki na wanafunzi vyuoni na katika shule za sekondari. Mwandishi ni mweledi wa lugha na kunga za fani ya tamthilia.
  • Add to cart
 • Zinguo la Mzuka Quick View
  • Zinguo la Mzuka Quick View
  • Zinguo la Mzuka

  • $3.00
  • “Yote yalianza hapa kwenye madhabahu. Je, hatuwezi kuyajenga?” Ujasiri, ari na azma inayozua michomo mikali ya kujipata upya pamoja na kurejesha urazini; inafanya watu waliozoea kukimya na kutazama madhabahu yao yakinajisiwa kufurukuta. Hii ni tamthilia inayoangazia maswala nyeti kama: ujenzi wa jamii mpya, uongozi, ukiritimba, ubinafsi na uozo mwingine wa kijamii. Isitoshe, inamulika uhusiano wa nchi huru za Kiafrika na…
  • Add to cart