Alitoroka Kwao

$1.50

Alitoroka Kwao
Author: Angelina Mdari

SKU: ISBN; 978 9966-882-59-6 Category:

Description

Lo! Mara Eva alipoipokea ile risiti yake akaanza kutetemeka kwa woga. Akajiwa na fikira zilizomzomea, ‘Mtoto umepotea wewe! Ati unaenda Nairobi? Unamjua nani huko? Nani anayekujua huko?’ Mawazo hayo yakamjaa ubongoni.

Eva akaendelea kutetemeka kwa hofu. Na kweli, huko alikokokuwa anakwenda alimjua nani? Lakini hapana! Akajipa moyo tena. Hangerudi nyuma!

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Alitoroka Kwao”

Your email address will not be published. Required fields are marked *