Majigambo ya Protini
KSh180.00
Majigambo ya Protini
Mwandishi: Ali Mwalim Rashid
Description
Tunasema vitamini
Protini na Madini
Nayo Mafuta jueni
Mwili watuhitaji.
Pia Wanga na sukari
Tumeeleza vizuri
Sasa usiwe msiri
Vyakula vyetu tumia.
Elimu ipokeeni
Vijana twawambieni
Hapa tupo darasani
Kwa elimu ya afia.
Reviews
There are no reviews yet.