Visa vya Jumbe B
KSh185.00
Visa vya Jumbe B
Mwandishi: Angelina Mdari
Description
Ulipendezwa na visa vya Jumbe A. Tumekuletea visa vingine vya Jumbe B akiwa na rafiki zake. Visa hivi vinamwandama rafiki yetu; si mjini si mashambani! Popote pale alipo yeye, visa vya kusisimua huzuka. Karibu uandamane na Jumbe kwenye mazingira tofauti tofauti. Karibu!
Reviews
There are no reviews yet.