Walioponea Chupuchupu
KSh190.00
Walioponea Chupuchupu
Mwandishi: Angelina Mdari
Description
Hadithi fupi za kusisimua zilizomo kitabuni humu zinaonyesha vile watu mbalimbali walivyonusurika kwa namna za kipekee. Watu hao waliponea chupuchupu kwa usaidizi wa wanyama na vidudu duni. Hawakuokolewa na werevu wao, bali na ule mkono wa ulinzi ambao daima huifanya kazi yake sirini.
Hadithi hizi zinalenga wanafunzi wa darasa la saba hadi la nane na pia wa kidato cha kwanza na cha pili.
Reviews
There are no reviews yet.