Werevu Mwingi
KSh150.00
Werevu Mwingi
Mwandishi: Angelian Mdari
Description
“Mwalimu aliyefurahi zaidi ya wote ni Bi Ahula, ambaye ndiye alikuwa msimamizi wa darasa la akina Fidelio.
Akamwambia; “Fidelio, unaendelea vizuri sana sasa. Usirudie kupata maksi mbayambaya za aibul”
“Ndio mwalimu,” Kijana akajibu. Wazazi nao walipendezwa sana na mwelekeo wa kijana wao. Hata hivyo, mamake Fidelio alikuwa na wasiwasi. Tabia hii ya mtoto wake ya kigeugeu kama kinyonga, hakuiamini.
Reviews
There are no reviews yet.