Excel in Business Studies has been developed to enhance students’ understanding of Business Studies as they prepare for their end of course examination in business studies. It creatively covers the entire content of the business studies KCSE syllabus.
Sanja Leonard Leo, Mohammed Kusino Kurunzi ya Kiswahili: K.C.S.E Kitabu cha Marudio kimeandikwa kwa madhumuni ya kuondolea mbali hali ya taharuki miongoni mwa wanafunzi na walimu kuhusu matarajio ya silabasi mpya. Yaliyopewa kipaumbele ni mahitaji ya mwanafunzi katika kuukabili mtihani wa sampuli yoyote ile.