Alitoroka Kwao

KSh150.00

Ramatoulaye, mwanamke Msenegali ameolewa na Modu, mtu mzito serikalini. Baada ya miaka
mingi ya ndoa Modu anaoa mke mwingine, msichana mdogo mwenye umri sawa na binti yake. Ramatoulaye anasahauliwa; pesa na mapenzi vinahamia kwa mke mdogo. Modu anakufa katika ajali ya gari. Nani atakayerithi mali ya marehemu? Halafu kuna umati uliokuja kwenye kilio ambao lazima ulishwe na upewe pesa kwa heshima ya marehemu.

SKU: 9966-882-59-6 Category:

Description