Kielezi cha Tungo

KSh450.00

Kielezi cha Tungo ni kitabu kinachojadili kwa mapana namna ya kuandika tungo mbalimbali. Hiki ni kitabu cha kipekee ambacho kimeangazia aina mbalimbali za tungo kwa kina. Mwandishi huyu anatoa mifano maridhawa katika kila utungo anaoushughulikia. Kina sehemu zinazoshughulikia maana na aina za insha, tungo amilifu, tungo za kifasihi, ufahamu na ufupisho. Aidha amelijadili kwa mapana swala la uakifishi. Kitabu hiki kitawafaa sana wanafunzi na walimu wa shule na vyuo mbalimbali pamoja na watu wanaokumbana na tungo za namna mbalimbali katika shughuli zao.

SKU: 9966-001-096-3 Category:

Description

Timothy M. Arege ana shahada ya uzamili katika Kiswahili kutoka Chuo Kikuu cha Nairobi. Bwana Arege amefundisha katika vyuo mbalimbali nchini Kenya. Mbali na kitabu hiki, Bw. Arege pia ameandika mfululizo wa vitabu vya Kiswahili, Kunga za Kiswahili. Kwa sasa Bw. Arege ni Mkuu wa Idara ya Kiswahili Catholic University of Eastern Africa.