Kiswahili Faridi

KSh460.00

KISWAHILI FARIDI: Kitabu cha Marudio K.C.P.E. kimeandikwa ili kimsaidie mwanafunzi anayejitayarisha kwa mtihani wa K.C.P.E.

100 in stock

Description

KISWAHILI FARIDI: Kitabu cha Marudio K.C.P.E. kimeandikwa ili kimsaidie mwanafunzi anayejitayarisha kwa mtihani wa K.C.P.E.

Kimeandikwa kwa kuzingatia silabasi ilivyo sasa. Lengo hasa ni kumrahisishia mwanafunzi uelewaji wa dhana muhimu katika kozi yake yote, kuanzia darasa la kwanza hadi la nane anapokuwa tayari kufanya mtihani.

Vipengele vilivyoangaziwa ni:

Ngeli: Zimeshughulikiwa na mifano kutolewa.

Vivumishi: Vimeshughulikiwa kwa kina.

Viwakilishi: Aidha viwakilishi vimeshughulikiwa katika viwango vitatu.

Vielezi: Minyambuliko, udogo na ukubwa, usemi wa taarifa na halisi, viunganishi,

umoja na wingi, viambishi n.k.

Tamathali: Semi, stiara, uhuishi n.k.

Msamiati: Mavazi, Sayari, teknologia n.k.

Kusikiliza na kuongea: Mashairi, nyimbo n.k.

Kusoma na kuandika: Uandishi wa insha mbalimbali, n.k.

Jinsi ya kujibu maswali.

Mazoezi ya – K.C.P.E. Karatasi kumi na mbili.

Majibu ya maswali ya K.C.P.E.

Ni nia yetu kuchangia kukua kwa somo hili la Kiswahili.

Waandishi ni walimu wenye tajiriba ndefu katika ufundishaji wa Kiswahili.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Kiswahili Faridi”

You may also like…