Redio: Sayansi na Tekinolojia Katika Maisha 1

$1.00

Redio: Sayansi na Tekinolojia Katika Maisha 1
Mwandishi: A H Sakara

SKU: ISBN 978 9966-01-081-5 Category: Tags: ,

Description

Je, redio ni nini?
Sauti na muziki unaosikia redioni unatoka wapi?

Soma kitabu hiki ili uweze kujibu maswali haya na mengine mengi. Pia utaweza kujifunza jinsi ya kutengeneza redio rahisi.