Visa vya Jumbe A

$1.70

Visa vya Jumbe
Mwandishi: Angelina Mdari

SKU: ISBN 978 9966-882-90-5 Category: Tags: ,

Description

Visa vya Jumbe A ni mfululizo wa hadithi za maisha ya mvulana mdogo ambaye aliyeitwa Jumbe. Hizi ni hadithi za kupendeza. Zinasimulia habari za Jumbe tangu alipozaliwa hadi kufikia umri wa miaka miwili na nusu.

Je, ni mambo gani yaliyompata? Ili kuyajua hayo na mengi mengine, endelea pia na kusoma visa vingine vya Jumbe B. Karibuni!